Zamu kwa aliye na wake wengi anaporudi kutoka safari

Swali: Maneno ya Ibn Hajar aliposema kwamba ambaye atakuwa mbali na wakeze kisha akarejea basi ataanza na amtakaye katika wao na halazimiki kuanzia pale alipoishilia…

Jibu: Hapa ni katika kuanza kusalimia. Jambo ni lenye wasaa. Kuanza kutoa salamu jambo lake ni lenye wasaa. Kuhusu kuwagawia zamu inakuwa kwa mpangilio.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23876/بمن-يبدا-من-غاب-عن-زوجاته-ثم-حضر
  • Imechapishwa: 24/05/2024