Zakaat-ul-Fitwr haiwajibiki kwa kafiri. Kama yuko na mtumishi ambaye ni kafiri na mpotofu au akawa na ndugu jamaa ambao ni makafiri anaowahudumia kwa kutarajia wataingia katika Uislamu, basi sio lazima kuwatolea Zakaat-ul-Fitwr.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://twitter.com/AbduazizCenter/status/620594457105297408
- Imechapishwa: 30/04/2022
Zakaat-ul-Fitwr haiwajibiki kwa kafiri. Kama yuko na mtumishi ambaye ni kafiri na mpotofu au akawa na ndugu jamaa ambao ni makafiri anaowahudumia kwa kutarajia wataingia katika Uislamu, basi sio lazima kuwatolea Zakaat-ul-Fitwr.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://twitter.com/AbduazizCenter/status/620594457105297408
Imechapishwa: 30/04/2022
https://firqatunnajia.com/zakaat-ul-fitwr-kwa-ndugu-kafiri/