Swali: Inafaa kwa baba kulipa deni la mtoto wake kutoka katika pesa ya zakaah?
Jibu: Hapana. Haifai kwa mtoto kulipa deni la baba yake wala baba kulipa deni la mtoto wake kutoka katika pesa ya zakaah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2019
Swali: Inafaa kwa baba kulipa deni la mtoto wake kutoka katika pesa ya zakaah?
Jibu: Hapana. Haifai kwa mtoto kulipa deni la baba yake wala baba kulipa deni la mtoto wake kutoka katika pesa ya zakaah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
Imechapishwa: 15/11/2019
https://firqatunnajia.com/zakaah-kwa-mtoto-mwenye-deni/