Swali: Mishahara ya wafanyikazi na misaada ya wanafunzi wa chuo kikuu inatolewa zakaah?
Jibu: Ikifikiwa na kile kiwango ambacho ni lazima kutolewa zakaah na ikazungukiwa na mwaka, basi itatolewa zakaah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: harh ´Umdat-il-Fiqh (16)
- Imechapishwa: 26/04/2021
Swali: Mishahara ya wafanyikazi na misaada ya wanafunzi wa chuo kikuu inatolewa zakaah?
Jibu: Ikifikiwa na kile kiwango ambacho ni lazima kutolewa zakaah na ikazungukiwa na mwaka, basi itatolewa zakaah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: harh ´Umdat-il-Fiqh (16)
Imechapishwa: 26/04/2021
https://firqatunnajia.com/zakaah-juu-ya-misaada-ya-wanafunzi-ya-masomo-ya-chuo-kikuu/