Swali: Kuna mtu amekufa na anadaiwa. Je, inafaa kulipa deni hili kutoka katika zakaah?

Jibu: Haijuzu kulipa deni la maiti kutoka katika zakaah. Lakini kama alichukua deni kwa nia ya kulipa baadaye, basi Allaah atamlipia.

Muhammad bin Swaalih al-´Uthaymiyn

1394-05-01

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/285)
  • Imechapishwa: 04/05/2021