Swali: Vipi kwa ambaye hawakufurishi mayahudi na manaswara?
Jibu: Yeye ni kama wao. Asiyeona makafiri kuwa ni makafiri ni kama wao. Ni lazima kumwamini Allaah na kuona kuwa ni kafiri yule mwenye kumkufuru. Imesihi ya kwamba yeye (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
”Mwenye kumpwekesha Allaah na akakufuru vile vinavyoabudiwa badala ya Allaah, imeharamika mali na damu yake na Hesabu yake iko kwa Allaah.”
Amesema (Jalla wa ´Alaa):
فَمَن يَكْفُرْ بِالطَّاغُوتِ وَيُؤْمِن بِاللَّـهِ فَقَدِ اسْتَمْسَكَ بِالْعُرْوَةِ الْوُثْقَىٰ لَا انفِصَامَ لَهَا ۗ وَاللَّـهُ سَمِيعٌ عَلِيمٌ
”Atakayemkanusha twaaghuut na akamwamini Allaah kwa hakika atakuwa ameshikilia imara kishikilio madhubuti kisichovunjika, na Allaah ni Mwenye kusikia, Mjuzi wa yote.”[1]
Kwa hiyo ni lazima kumwamini Allaah kwa namna ya kumwabudu Yeye pekee, kumtakasia Yeye ´ibaadah na mtu aamini kama wanavyoamini waumini. Aidha ni lazima mtu awakufurishe makafiri ambao wamefikiwa na Shari´ah lakini wasiiamini miongoni mwa mayahudi, manaswara, waabudu moto, wakomunisti na wengineo walioko hii leo na kabla ya leo ambao wamefikiwa na Ujumbe wa Allaah lakini wasiuamini. Watu aina hiyo ni katika watu wa Motoni na ni makafiri.
[1] 02:256
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29422/%D9%85%D8%A7-%D8%AD%D9%83%D9%85%C2%A0%D9%85%D9%86-%D9%84%D9%85-%D9%8A%D9%83%D9%81%D8%B1-%D8%A7%D9%84%D9%8A%D9%87%D9%88%D8%AF-%D9%88%D8%A7%D9%84%D9%86%D8%B5%D8%A7%D8%B1%D9%89
- Imechapishwa: 14/08/2025
Swali: Vipi kwa ambaye hawakufurishi mayahudi na manaswara?
Jibu: Yeye ni kama wao. Asiyeona makafiri kuwa ni makafiri ni kama wao. Ni lazima kumwamini Allaah na kuona kuwa ni kafiri yule mwenye kumkufuru. Imesihi ya kwamba yeye (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
”Mwenye kumpwekesha Allaah na akakufuru vile vinavyoabudiwa badala ya Allaah, imeharamika mali na damu yake na Hesabu yake iko kwa Allaah.”
Amesema (Jalla wa ´Alaa):
فَمَن يَكْفُرْ بِالطَّاغُوتِ وَيُؤْمِن بِاللَّـهِ فَقَدِ اسْتَمْسَكَ بِالْعُرْوَةِ الْوُثْقَىٰ لَا انفِصَامَ لَهَا ۗ وَاللَّـهُ سَمِيعٌ عَلِيمٌ
”Atakayemkanusha twaaghuut na akamwamini Allaah kwa hakika atakuwa ameshikilia imara kishikilio madhubuti kisichovunjika, na Allaah ni Mwenye kusikia, Mjuzi wa yote.”[1]
Kwa hiyo ni lazima kumwamini Allaah kwa namna ya kumwabudu Yeye pekee, kumtakasia Yeye ´ibaadah na mtu aamini kama wanavyoamini waumini. Aidha ni lazima mtu awakufurishe makafiri ambao wamefikiwa na Shari´ah lakini wasiiamini miongoni mwa mayahudi, manaswara, waabudu moto, wakomunisti na wengineo walioko hii leo na kabla ya leo ambao wamefikiwa na Ujumbe wa Allaah lakini wasiuamini. Watu aina hiyo ni katika watu wa Motoni na ni makafiri.
[1] 02:256
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29422/%D9%85%D8%A7-%D8%AD%D9%83%D9%85%C2%A0%D9%85%D9%86-%D9%84%D9%85-%D9%8A%D9%83%D9%81%D8%B1-%D8%A7%D9%84%D9%8A%D9%87%D9%88%D8%AF-%D9%88%D8%A7%D9%84%D9%86%D8%B5%D8%A7%D8%B1%D9%89
Imechapishwa: 14/08/2025
https://firqatunnajia.com/yeye-ni-kama-mayahudi-na-manaswara/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket