Swali 166: Vipi kuhusu kudumu katika kusoma Aayah:

إِنَّ اللَّـهَ يَأْمُرُ بِالْعَدْلِ وَالْإِحْسَانِ وَإِيتَاءِ ذِي الْقُرْبَىٰ وَيَنْهَىٰ عَنِ الْفَحْشَاءِ وَالْمُنكَرِ وَالْبَغْيِ ۚ يَعِظُكُمْ لَعَلَّكُمْ تَذَكَّرُونَ

“Hakika Allaah anaamrishia uadilifu na wemaa na kuwapa [mahitajio na msaada] jamaa wa karibu na anakataza machafu na maovu na ukandamizaji; anakuwaidhini huenda mkapata kukumbuka.”[1]

na kuwaombea makhaliyfah waongofu katika Khutbah ya ijumaa?

Jibu: Hili limepokelewa kutoka kwa Salaf. Kwa hiyo hakuna tatizo.

[1] 16:90

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 73
  • Imechapishwa: 03/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´