Swali: Mtu aliswali swalah ya Maghrib na baada ya swalah akagundua kwenye mguu wake kuna kitu kinachozuia maji kufika kwenye ngozi, kama vile nta. Je, swalah yake ni sahihi ikiwa wakati wa kutawadha alijua kwamba kuna kitu kwenye mguu wake, lakini hakukiona mpaka baada ya swalah?
Jibu: Ni wajibu kwake kuondoa kitu kinachozuia maji kufika kwenye ngozi, kisha arudie wudhuu´ na swalah.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/219)
- Imechapishwa: 06/11/2026
Swali: Mtu aliswali swalah ya Maghrib na baada ya swalah akagundua kwenye mguu wake kuna kitu kinachozuia maji kufika kwenye ngozi, kama vile nta. Je, swalah yake ni sahihi ikiwa wakati wa kutawadha alijua kwamba kuna kitu kwenye mguu wake, lakini hakukiona mpaka baada ya swalah?
Jibu: Ni wajibu kwake kuondoa kitu kinachozuia maji kufika kwenye ngozi, kisha arudie wudhuu´ na swalah.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/219)
Imechapishwa: 06/11/2026
https://firqatunnajia.com/wudhuu-wa-mwenye-nta-mguuni/