Wudhuu´ wa mwanamke anayetokwa na hewa katika uke wake

Swali: Mwanamke anapoingia katika swalah, kisha anapoanza kurukuu na kusujudu, khaswa wakati wa kusujudu, kukaa baina ya sijda mbili na kukaa kwa ajili ya Tashahhud, hutoka hewa kwenye tupu yake kiasi kwamba walio karibu naye huweza kuisikia. Je, swalah ya mwanamke inabatilika kwa hilo? Wakati mwingine hutoka hewa kidogo sana kiasi kwamba hakuna yeyote anayesikia. Je, katika hali hiyo wudhuu´ na swalah pia vinabatilika?

Jibu: Kutoka kwa hewa katika tupu ya mbele hakubatilishi wudhuu´.

  • Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/259)
  • Imechapishwa: 08/11/2026