Swali: Je, kugusa tupu ya mtoto wangu wakati wa kumbadilisha nguo kunachengua wudhuu´ wangu?
Jibu: Kugusa tupu bila kizuizi kunabatilisha wudhuu´, ni mamoja awe anayeguswa ni mtoto au mtumzima. Hii ni kutokana na kuthibiti kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule mwenye kugusa tupu yake, basi atawadhe.”
Tupu ya anayeguswa ina hukumu sawa na tupu ya anayegusa.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/265)
- Imechapishwa: 08/11/2026
Swali: Je, kugusa tupu ya mtoto wangu wakati wa kumbadilisha nguo kunachengua wudhuu´ wangu?
Jibu: Kugusa tupu bila kizuizi kunabatilisha wudhuu´, ni mamoja awe anayeguswa ni mtoto au mtumzima. Hii ni kutokana na kuthibiti kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule mwenye kugusa tupu yake, basi atawadhe.”
Tupu ya anayeguswa ina hukumu sawa na tupu ya anayegusa.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/265)
Imechapishwa: 08/11/2026
https://firqatunnajia.com/amegusa-tupu-yake-bahati-mbaya-wakati-wa-kuvaa-nguo/