Swali: Je, kugusa tupu tu au kuikuna, hata ikiwa ni juu ya nguo na bila kupata msisimko wa shahawa, kunachengua wudhuu´?

Jibu: Ikiwa umeshika moja ya tupu zako mbili bila ya kizuizi, basi wudhuu´ wako unachenguka, hata kama hukufanya hivyo kwa matamanio. Lakini ikiwa ugusaji umetokea nyuma ya kizuizi, basi wudhuu´ hauchenguki.

  • Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/265-266)
  • Imechapishwa: 08/11/2026