Swali: Wakati mwingine ninapokuwa natawadha mawazo mbalimbali hujitokeza akilini ambayo hayahusiani na swalah, wudhuu´ wala kusudio la kutawadha. Kwa mfano mtu kumfikiria mwanamke wakati wa kutawadha. Je, wudhuu´ wake unachenguka au hauchenguki? Hukumu ya Kishari´ah inasemaje?
Jibu: Kufikiria mambo yanayohusiana na ndoa, ikiwa hakutokwa na manii wala madhii, hakuathiri wudhuu´ wake. Kwa sababu kufikiria tu hakuchengui wudhuu´.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/269-270)
- Imechapishwa: 08/11/2026
Swali: Wakati mwingine ninapokuwa natawadha mawazo mbalimbali hujitokeza akilini ambayo hayahusiani na swalah, wudhuu´ wala kusudio la kutawadha. Kwa mfano mtu kumfikiria mwanamke wakati wa kutawadha. Je, wudhuu´ wake unachenguka au hauchenguki? Hukumu ya Kishari´ah inasemaje?
Jibu: Kufikiria mambo yanayohusiana na ndoa, ikiwa hakutokwa na manii wala madhii, hakuathiri wudhuu´ wake. Kwa sababu kufikiria tu hakuchengui wudhuu´.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/269-270)
Imechapishwa: 08/11/2026
https://firqatunnajia.com/kufikiria-mambo-ya-tendo-la-ndoa-kunachengua-wudhuu/