Swali 320: Inasihi kwa mwanamke mwenye damu ya ugonjwa kuswali kisimamo cha usiku kukishafika nusu ya usiku kwa wudhuu´ kwa ´Ishaa?
Jibu: Hapana. Kukishafika nusu ya usiku basi ni lazima kutia upya wudhuu´. Imesemwa pia kwamba haimlazimu kutia upya wudhuu´, maoni ambayo ndio yenye nguvu zaidi.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 121
- Imechapishwa: 04/10/2019
Swali 320: Inasihi kwa mwanamke mwenye damu ya ugonjwa kuswali kisimamo cha usiku kukishafika nusu ya usiku kwa wudhuu´ kwa ´Ishaa?
Jibu: Hapana. Kukishafika nusu ya usiku basi ni lazima kutia upya wudhuu´. Imesemwa pia kwamba haimlazimu kutia upya wudhuu´, maoni ambayo ndio yenye nguvu zaidi.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 121
Imechapishwa: 04/10/2019
https://firqatunnajia.com/wudhuu-wa-ishaa-usiku-wa-manane-kwa-mwenye-istihaadhah/