126- Nilimuuliza baba yangu kuhusu mtu ambaye mkono wake umekatwa hadi kwenye kiwiko. Akajibu:
“Ataosha mkono wake mpaka mahali alipokatwa. Ataugeuza na kupangusa.”
Nilimuuliza baba yangu kuhusu mtu ambaye mguu wake umekatwa. Akajibu:
“Ataosha mpaka pale pahali alipokuaga akitawadha.”
- Muhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/105)
- Imechapishwa: 23/01/2021
126- Nilimuuliza baba yangu kuhusu mtu ambaye mkono wake umekatwa hadi kwenye kiwiko. Akajibu:
“Ataosha mkono wake mpaka mahali alipokatwa. Ataugeuza na kupangusa.”
Nilimuuliza baba yangu kuhusu mtu ambaye mguu wake umekatwa. Akajibu:
“Ataosha mpaka pale pahali alipokuaga akitawadha.”
Muhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/105)
Imechapishwa: 23/01/2021
https://firqatunnajia.com/wudhuu-wa-ambaye-amekatwa-mguu-au-mkono/