Wudhuu´ wa ambaye amebakiwa na mabaki ya chakula kwenye meno

Swali: Wakati wa kula chakula mabaki ya chakula hubaki katikati ya meno. Ikiwa tutatawadha au tutaoga na tukashindwa kuyaondoa mabaki hayo, je, wudhuu´ au josho litakuwa sahihi?

Jibu: Wudhuu´ na josho ni sahihi hata ikiwa mabaki ya chakula yamebaki katikati ya meno. Hata hivyo kuyaondoa ni bora.

  • Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/234)
  • Imechapishwa: 06/11/2026