124 – Nilimuuliza Shaykh ni ipi hukumu ya mwanamke kupangusa kichwa chake akiwa na hinaa?

Jibu: Dhahiri ya kile alichopokea Abu Daawuud kutoka kwa ´Aaishah ni kupangusa juu ya kitambaa, jambo ambalo linafahamisha kuwa inafaa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 63
  • Imechapishwa: 19/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´