Swal 126: Je, waabudu makaburi na mizimu na Ahl-ul-Bid´ah ndio watangulizwe kukemewa kabla ya kupambana na makafiri?
Jibu: Wote ni makafiri. Waabudu makaburi ni makafiri na hakuna tofauti kati yao na makafiri. Lakini huenda kukasemwa kwamba waabudu makaburi ni wenye kuritadi. Kwa sababu hapo kabla walikuwa ni waislamu ndipo baadaye wakayaabudu makaburi. Matokeo yake wakaritadi. Hivyo wataamiliwe muamala wa makafiri.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa ´Ulamaa-ul-Kibaar fiy al-Irhaab wat-Tadmiyr, uk. 308
- Imechapishwa: 03/11/2019
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)