437 – Nilimuuliza kuhusu dalili inayotumiwa na baadhi yao kwa Hadiyth isemayo:

“Wala hakuswali baina yake wala baada ya mojamoja kati ya hizo.”

juu ya kwamba hakuswali Witr usiku huo?

Jibu: Hapana. Hii ni baada ya swalah moja kwa moja hakuswali swalah ya Sunnah. Witr ni swalah nyingine. Alikuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiswali Witr akiwa mjini na safarini.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 141
  • Imechapishwa: 29/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´