Swali 657: Je, makafiri wanaitwa ”wenye akili”?

Jibu: Katika mambo ya dunia, huitwa hivyo. Ama katika Aakhirah hapana[1].

[1] Shaykh Ibn ´Uthaymiyn amesema vivyo hivyo aliposema: “Kama ni akili inayoongoza kwenye ukomavu na uwongofu, hapana.”

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 239
  • Imechapishwa: 21/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´