Swali: Je, mapenzi ya kumpenda Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) yanatofautiana kwa watu?
Jibu: Hili ni jambo lisilokuwa na shaka. Mapenzi juu ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) yanatofautiana kwa watu. Kwa baadhi ya watu yana nguvu kuliko kwa wengine. Baadhi ya watu wana mapenzi zaidi na yenye nguvu kwa Allaah na Mtume Wake kuliko wengine.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-4-3.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Je, mapenzi ya kumpenda Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) yanatofautiana kwa watu?
Jibu: Hili ni jambo lisilokuwa na shaka. Mapenzi juu ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) yanatofautiana kwa watu. Kwa baadhi ya watu yana nguvu kuliko kwa wengine. Baadhi ya watu wana mapenzi zaidi na yenye nguvu kwa Allaah na Mtume Wake kuliko wengine.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-4-3.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/watu-wanatofautiana-katika-kumpenda-allaah-na-mtume-wake/