Swali: Kwenuye masomo yetu kuna mwalimu amesema kuwa Taabi´uun na waliokuja baada ya Taabi´uun ni wajuzi zaidi kuliko Maswahabah kwa kuwa Maswahabah wengi Hadiyth zilifichikana kwao na Taabi´uun ndio waliozikusanya. Ni ipi hukumu ya msemo huu na ni yapi maelekezo yako juu ya hili?
Jibu: Huyu ni mjinga. Mwalimu huyu ni mjinga. Apuuzwe. Huyu anazungumza kwa ujinga. Hazungumzi kwa elimu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_13.mp3
- Imechapishwa: 15/06/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)