Swali: Je, tuwatahadharishe watoto wetu na wanafunzi wetu wadogo juu ya uzushi wa kuabudia makaburi na kufungamana nayo na kwamba hayanufaishi na wala hayadhuru?
Jibu: Hapana shaka. Ni lazima kumfunza mtoto na mkubwa ´Aqiydah sahihi na kuwatahadharisha ´Aqiydah mbovu. Wabainishiwe jambo hili. Wafunzwe. Wakuzwe juu yake ili wasidanganywe. Hili khaswa hii leo ambapo kumeenea ujinga na ukhurafi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tatwhiyr-il-I´tiqaad (11) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/et–1432-05-15.mp3
- Imechapishwa: 12/11/2022
Swali: Je, tuwatahadharishe watoto wetu na wanafunzi wetu wadogo juu ya uzushi wa kuabudia makaburi na kufungamana nayo na kwamba hayanufaishi na wala hayadhuru?
Jibu: Hapana shaka. Ni lazima kumfunza mtoto na mkubwa ´Aqiydah sahihi na kuwatahadharisha ´Aqiydah mbovu. Wabainishiwe jambo hili. Wafunzwe. Wakuzwe juu yake ili wasidanganywe. Hili khaswa hii leo ambapo kumeenea ujinga na ukhurafi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Tatwhiyr-il-I´tiqaad (11) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/et–1432-05-15.mp3
Imechapishwa: 12/11/2022
https://firqatunnajia.com/watoto-watahadharishwe-na-aqiydah-mbovu/