Watoto wa makafiri kwenye makaburi ya waislamu

Swali: Inafaa kuwazika watoto wa makafiri wadogo katika makaburi ya waislamu?

Jibu: Hapana. Watoto wa makafiri ni wenye kuwafuata wazazi wao. Wanazikwa pamoja na wazazi wao makafiri.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan. af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
  • Imechapishwa: 04/01/2021