Swali: Sisi tunafuatilia darsa zako kwa mwendelezo kupitia njia ya intaneti. Je, tunazingatiwa ni katika wanafunzi zako?

Jibu: Hapana, lakini ni wasikilizaji. Si wanafunzi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=aTw50DHl7x8
  • Imechapishwa: 05/03/2022