Swali: Nilimuoa mwanamke, kisha nikamtaliki. Baadaye akaolewa na mwanaume mwingine, akapata watoto wa kike. Je, wasichana hao ni halali kwa watoto wangu wa kiume?
Jibu: Wanakuwa halali kwa watoto wako wa kiume ikiwa hakuna uyononyeshaji uliopo kati yao. Ama kwako wewe hapana. Wasichana wa mume wake wanahalalika kwa watoto wako.
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1949/حكم-زواج-اولاد-الرجل-ببنات-مطلقته-من-رجل-اخر
- Imechapishwa: 30/05/2026
Swali: Nilimuoa mwanamke, kisha nikamtaliki. Baadaye akaolewa na mwanaume mwingine, akapata watoto wa kike. Je, wasichana hao ni halali kwa watoto wangu wa kiume?
Jibu: Wanakuwa halali kwa watoto wako wa kiume ikiwa hakuna uyononyeshaji uliopo kati yao. Ama kwako wewe hapana. Wasichana wa mume wake wanahalalika kwa watoto wako.
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1949/حكم-زواج-اولاد-الرجل-ببنات-مطلقته-من-رجل-اخر
Imechapishwa: 30/05/2026
https://firqatunnajia.com/wasichana-wa-mtaliki-wangu-ni-halali-kwa-wavulana-wangu/