Swali: Kuna kundi la watu ambalo walikwua safarini wakaingia msikitini na huku watu wanaswali swalah ya ijumaa ambapo wakamkuta imamu katika Tashahhud. Wakati imamu alipotoa Tasliym baadhi yao walisimama na wakaswali Rak´ah nne na wengine wakaswali Rak´ah mbili. Ni wepi waliopatia?

Jibu: Wajiunge na imamu na hukumu yao ni kama hukumu ya imamu. Kwa vile imewapita swalah pamoja na imamu, basi walitakiwa kuswali Dhuhr Rak´ah nne.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (91) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-22-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 04/08/2018