Swali: Je, wanyama wa majini wanaoishi majini na nchikavu kama mamba, kaa na mfano wake inajuzu kuliwa?

Jibu: Ikiwa anashambulia anakuwa miongoni mwa wale wanyama wakali. Allaah ameharamisha wanyama wakali. Lakini ikiwa anaishi baharini, basi sahihi ni kuwa mawindo yote ya baharini ni halali.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25338/ما-حكم-الحيوانات-البرماىية-كالتمساح-والسرطان
  • Imechapishwa: 28/02/2025