Wanazuoni wengi kuhusu zakaah ya asali

332 – Nilimuuliza kuhusu maoni ya jopo kubwa ya wanazuoni wanaona kuwa ni lazima asali itolewe zakaah au hapana?

Jibu: Kikosi kikubwa cha wanazuoni wanaona kuwa si lazima kuitolea zakaah, jambo ambalo ndio sahihi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 118
  • Imechapishwa: 31/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´