Allaah (Ta´ala) amesema:
فَلَا وَرَبِّكَ لَا يُؤْمِنُونَ حَتَّىٰ يُحَكِّمُوكَ فِيمَا شَجَرَ بَيْنَهُمْ ثُمَّ لَا يَجِدُوا فِي أَنفُسِهِمْ حَرَجًا مِّمَّا قَضَيْتَ وَيُسَلِّمُوا تَسْلِيمًا
“Basi naapa kwa Mola wako hawatoamini mpaka wakufanye wewe ni mwamuzi katika yale wanayozozana kati yao, kisha wasipate katika nyoyo zao kigegezi katika yale uliyohukumu na wajisalimishe kabisa.” (04:65)
Allaah (Ta´ala) ameamrisha kumtii Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na wale wenye madaraka katika sisi. Wenye madaraka kunaingia wanachuoni na watawala. Wanachuoni ni watawala wetu katika kubainisha dini ya Allaah. Viongozi ni watawala wetu katika kutekeleza Shari´ah ya Allaah. Wanachuoni hawawezi kutengemaa isipokuwa mpaka kwa viongozi na viongozi hawawezi kutengemaa isipokuwa mpaka kwa wanachuoni. Ni juu ya viongozi kurejea kwa wanachuoni ili wawawekee wazi Shari´ah ya Allaah. Ni juu ya wanachuoni vilevile kuwanasihi viongozi na wawakhofishe juu ya Allaah na wawape mawaidha ili waweze kutekeleza Shari´ah ya Allaah juu ya viumbe Wake.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (02/253-254)
- Imechapishwa: 26/09/2024
Allaah (Ta´ala) amesema:
فَلَا وَرَبِّكَ لَا يُؤْمِنُونَ حَتَّىٰ يُحَكِّمُوكَ فِيمَا شَجَرَ بَيْنَهُمْ ثُمَّ لَا يَجِدُوا فِي أَنفُسِهِمْ حَرَجًا مِّمَّا قَضَيْتَ وَيُسَلِّمُوا تَسْلِيمًا
“Basi naapa kwa Mola wako hawatoamini mpaka wakufanye wewe ni mwamuzi katika yale wanayozozana kati yao, kisha wasipate katika nyoyo zao kigegezi katika yale uliyohukumu na wajisalimishe kabisa.” (04:65)
Allaah (Ta´ala) ameamrisha kumtii Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na wale wenye madaraka katika sisi. Wenye madaraka kunaingia wanachuoni na watawala. Wanachuoni ni watawala wetu katika kubainisha dini ya Allaah. Viongozi ni watawala wetu katika kutekeleza Shari´ah ya Allaah. Wanachuoni hawawezi kutengemaa isipokuwa mpaka kwa viongozi na viongozi hawawezi kutengemaa isipokuwa mpaka kwa wanachuoni. Ni juu ya viongozi kurejea kwa wanachuoni ili wawawekee wazi Shari´ah ya Allaah. Ni juu ya wanachuoni vilevile kuwanasihi viongozi na wawakhofishe juu ya Allaah na wawape mawaidha ili waweze kutekeleza Shari´ah ya Allaah juu ya viumbe Wake.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (02/253-254)
Imechapishwa: 26/09/2024
https://firqatunnajia.com/wanazuoni-na-watawala-ndio-wenye-madaraka/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)