Swali: Vipi kuhusu wanawake kushiriki katika jihaad?

Jibu: Hakuna juu ya wanawake jihaad. Hata hivyo wanaweza kushiriki ikiwa kuna manufaa kwa waislamu, kama vile kutoa huduma za uuguzi, kuwapa maji majeruhi na kulinda mizigo. Hili lilikuwa likifanyika wakati wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwa ajili ya manufaa, na si kwa ajili ya kupambana jihaad.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24924/كيف-تشارك-النساء-في-الجهاد
  • Imechapishwa: 04/01/2025