Allaah (Ta´ala) amesema:

لِّلَّذِينَ أَحْسَنُوا الْحُسْنَىٰ وَزِيَادَةٌ

“Kwa wale waliofanya mazuri watapata [malipo] mazuri kabisa – na ziada.”[1]

Ibn Jariyr amesema:

“Tafsiri ya kwamba “ziada” maana yake ni kuangalia Uso wa Allaah mtukufu imepokelewa na wafuatao:

1 – Abu Bakr as-Swiddiyq.

2 – Hudhayfah bin al-Yamaan.

3 – ´Abdullaah bin ´Abbaas.

4 – Sa´iyd bin Musayyib.

5 – ´Abdur-Rahmaan bin Abiy Laylaa.

6 – ´Abdur-Rahmaan bin Saabtw.

7 – Mujaahid.

8 – Ikrimah.

9 – ´Aamir bin Sa´d.

10 – ´Atwaa’.

11 – adh-Dhwahhaak.

12 – al-Hasan [al-Baswriy].

13 – Qataadah.

14 – Sa´diy.

15 – Muhammad bin Ishaaq.

Kuna wahenga na waliokuja nyuma wengine[2].

[1] 10:26

[2] Tafsiyr ya Ibn Jariyr (11/105).

  • Mhusika: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ar-Radd al-Qawiym, uk. 87
  • Imechapishwa: 14/01/2017