Swali: Hapa Misri tunawashauri watu kutofanya maandamano, mapinduzi na kuwafanyia uasi watawala. Baadhi ya watu wanatuita sisi kuwa ni “Madaakhilah” na “Jaamiyyah”.
Jibu: Hakuna tabu. Waache waseme. Hakukudhuruni kitu.
Swali: Unatunasihi nini?
Jibu: Endeleeni kutahadharisha fitina na shari. Mnalipwa thawabu Allaah akitaka.
Muulizaji: Wanatukana ulinganizi katika Sunnah kwa majina bandia kama haya “Madaakhilah” na “Jaamiyyah”.
Jibu: Hakuna tabu. Waache waseme. Hakukudhuruni kitu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=zwkNwp2g6ko
- Imechapishwa: 15/11/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)