Swali: Inapokuja katika yale mambo wanazuoni wametofautiana, kama vile picha au kushirikiana na jumuiya na benki zenye kutiliwa shaka, nataka kuchukua tahadhari na kujiepusha nayo. Wako wanaonikemea jambo hilo na kunituhumu kwamba nina msimamo mkali. Je, wanayosema ni sahihi?
Jibu: Haina neno. Wakwache uwe mwenye msimamo mkali. Wanamtuhumu yule ambaye anashikamana na dini yake na anaihifadhi dini yake kwamba ni mwenye msimamo mkali. Ni uzuri uliyoje msimamo mkali huu. Ni jambo zuri.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (44)
- Imechapishwa: 12/07/2024
Swali: Inapokuja katika yale mambo wanazuoni wametofautiana, kama vile picha au kushirikiana na jumuiya na benki zenye kutiliwa shaka, nataka kuchukua tahadhari na kujiepusha nayo. Wako wanaonikemea jambo hilo na kunituhumu kwamba nina msimamo mkali. Je, wanayosema ni sahihi?
Jibu: Haina neno. Wakwache uwe mwenye msimamo mkali. Wanamtuhumu yule ambaye anashikamana na dini yake na anaihifadhi dini yake kwamba ni mwenye msimamo mkali. Ni uzuri uliyoje msimamo mkali huu. Ni jambo zuri.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (44)
Imechapishwa: 12/07/2024
https://firqatunnajia.com/wanasema-kuwa-nina-msimamo-mkali/