Swali 605: Vipi kuhusu mtu anayetupa kichwa cha kuku au wa wanyama wa mwituni?

Jibu: Sijui kuwa na ubaya ikiwa hakiliwi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 215
  • Imechapishwa: 11/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´