Swali: Mimi ni mwanamke ambaye ni mtiifu kwa mume wake na nimeshikamana na maamrisho ya Allaah. Hata hivyo kamwe hatabasamu kwangu. Hatimizi majukumu yake kwangu inapokuja katika kunikatia nguo. Matokeo yake na mimi ninaacha kufanya jimaa naye. Je, napata madhambi?
Jibu: Allaah (´Azza wa Jall) Ameamrisha wanandoa kueshi kwa wema na kila mmoja atimize wajibu wake ili mafanikio ya uhusiano wa ndoa uweze kukamilika. Mume na mke ni lazima kuvumiliana katika upungufu na uhusiano mbaya, mke atimize majukumu yake na amuombe Allaah haki zake. Hili linafanya ndoa kudumu.
Ninakuusia kuvumilia na upungufu wa mume wako na kwamba utimize majukumu yako kama mke. Mwisho – kwa idhini ya Allaah – ni wenye kusifiwa. Ikiwa mwanamke anatimiza wajibu wake, inawezekana kwa mwanaume akaanza kuona haya.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Makaanat-ul-Mar’ah fiyl-Islaam, uk. 634-635
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Mimi ni mwanamke ambaye ni mtiifu kwa mume wake na nimeshikamana na maamrisho ya Allaah. Hata hivyo kamwe hatabasamu kwangu. Hatimizi majukumu yake kwangu inapokuja katika kunikatia nguo. Matokeo yake na mimi ninaacha kufanya jimaa naye. Je, napata madhambi?
Jibu: Allaah (´Azza wa Jall) Ameamrisha wanandoa kueshi kwa wema na kila mmoja atimize wajibu wake ili mafanikio ya uhusiano wa ndoa uweze kukamilika. Mume na mke ni lazima kuvumiliana katika upungufu na uhusiano mbaya, mke atimize majukumu yake na amuombe Allaah haki zake. Hili linafanya ndoa kudumu.
Ninakuusia kuvumilia na upungufu wa mume wako na kwamba utimize majukumu yako kama mke. Mwisho – kwa idhini ya Allaah – ni wenye kusifiwa. Ikiwa mwanamke anatimiza wajibu wake, inawezekana kwa mwanaume akaanza kuona haya.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Makaanat-ul-Mar’ah fiyl-Islaam, uk. 634-635
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/wanandoa-wanatakiwa-kuvumiliana-kwa-kasoro-za-kila-mmoja/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)