Swali: Baadhi ya wanafamilia kuingilia mambo [migogoro] yanayotokea kati ya mume na mke.

Jibu: Haina neno kuingilia kwa kheri na kuingilia kwa kutoa nasaha. Hata hivyo haijuzu kuyaingilia kwa kuamsha fitina na kuchochea shari. Lakini kuyaingilia kwa maneno mazuri, mashauriano na kutoa nasaha ni mambo yanayotakikana.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21646/حكم-التدخل-العاىلي-بين-الزوج-والزوجة
  • Imechapishwa: 01/09/2022