Swali: Kulitokea kati yangu mimi na ndugu yangu mmoja Shighaar – bila shaka ndoa inakuwa batili – na hivi sasa mmoja wetu amemwacha mke wake na huyo mwingine anataka kuendelea kuishi na mke wake.

Jibu: Afanye ndoa upya pasi na sharti ya Shighaar. Aidha atubie juu ya yaliyopita.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22290/حكم-شخصين-تزوجا-بالشغار-ثم-طلق-احدهما
  • Imechapishwa: 27/01/2023