Swali: Je, Jamaal-ud-Diyn al-Afghaaniy na Muhammad ´Abduh wanazingatiwa ni katika wanachuoni? Ni ipi hali yao? Ni vipi upotevu wao?
Jibu: Ni wamasoni ambao wamewaharibu vijana Misri katika zama zao. Wamewaharibu watunzi wengi wa vitabu mpaka Muhammad Rashiyd Ridhwaa´. Nina kijitabu juu yake kwa jina “Ruduud Ahl-il-´Ilm”. Kwa sababu ya ufinyu wa wakati ninawarejesha katika kitabu ”Manhaj-ul-Madraswah al-´Aqliyyah fiyt-Tafsiyr”na ”Jamaal-ud-Diyn al-Afghaaniy fiy Miyzaan-il-Islaam”. Wawili hawa ni katika viongozi wa upotevu na wako karibu zaidi na ukafiri.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Tuhfat-ul-Mujiyb, uk. 194
- Imechapishwa: 14/03/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)