Waliochelewa kumtanguliza mmoja wao awe imamu

Swali 244: Je, waliojiunga kuchelewa katika swalah wanaweza kumtanguliza mmoja wao kuwa imamu?

Jibu: Hapana; mfano ni kisa cha al-Mughiyrah (Radhiya Allaahu ´anh) na hakumfuata Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuwa imamu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 95
  • Imechapishwa: 09/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´