Swali: Ni pote lipi lililotangulia kujitokeza kati ya Khawaarij na Raafidhwah?
Jibu: Udhahiri – na Allaah ndiye mjuzi zaidi – ni Khawaarij. Hawa ndio ambao walimuua ´Uthmaan (Radhiya Allaahu ´anh) na wakamfanyia uasi ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh). Halafu baada ya hapo ndipo wakajitokeza Shiy´ah ambao ni wafuasi wa Ibn Sabaa´. Wanakaribiana.
´Abdullaah bin Sabaa´ ndio muasisi wa Shiy´ah. Alikuwa ni mnafiki na zandiki ambaye alidai kumpenda ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh).
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh al-Qaa´idah al-Marraakushiyyah (02)
- Imechapishwa: 01/05/2020
Swali: Ni pote lipi lililotangulia kujitokeza kati ya Khawaarij na Raafidhwah?
Jibu: Udhahiri – na Allaah ndiye mjuzi zaidi – ni Khawaarij. Hawa ndio ambao walimuua ´Uthmaan (Radhiya Allaahu ´anh) na wakamfanyia uasi ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh). Halafu baada ya hapo ndipo wakajitokeza Shiy´ah ambao ni wafuasi wa Ibn Sabaa´. Wanakaribiana.
´Abdullaah bin Sabaa´ ndio muasisi wa Shiy´ah. Alikuwa ni mnafiki na zandiki ambaye alidai kumpenda ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh).
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh al-Qaa´idah al-Marraakushiyyah (02)
Imechapishwa: 01/05/2020
https://firqatunnajia.com/walianza-kujitokeza-khawaarij-au-raafidhwah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)