Wakati unaozingatiwa kuona mwezi mwandamo

Swali: Kigezo ni wakati wa kuonekana kwake? Kwa maana nyingine vipi ikiwa wataona mwezi mwandamo mchana?

Jibu: Kigezo ni baada ya kuzama kwa jua katika usiku wa tarehe thelathini, kilicho kabla yake hakizingatiwi.

Swali: Na vipi ikiwa watauona usiku saa kumi na moja usiku?

Jibu: Hauzingatiwi isipokuwa baada ya kuzama kwa jua katika jioni ya tarehe ishirini na tisa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25432/ما-الوقت-المعتبر-لروية-الهلال
  • Imechapishwa: 19/03/2025