Swali: Je, inajuzu kwa mwanaume kutoka na mchumba wake kwa kujificha pasina familia yake kujua?
Jibu: Ikiwa ameshamuoa ndio. Ama ikiwa ni kabla ya kumuoa, mwanamke huyo sio Mahram wake na si halali kwake kufanya hivo.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aal ash-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://ramadhan.af.org.sa/ar/node/6984
- Imechapishwa: 19/09/2020
Swali: Je, inajuzu kwa mwanaume kutoka na mchumba wake kwa kujificha pasina familia yake kujua?
Jibu: Ikiwa ameshamuoa ndio. Ama ikiwa ni kabla ya kumuoa, mwanamke huyo sio Mahram wake na si halali kwake kufanya hivo.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aal ash-Shaykh
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://ramadhan.af.org.sa/ar/node/6984
Imechapishwa: 19/09/2020
https://firqatunnajia.com/wachumba-kutoka-kwa-kujificha/