Waalikwa wanatozwa pesa kwa ajili ya sherehe ya tohara

Swali 8644: Wanapotaka kuwatahiri watoto wao hutangaza na watu hukusanyika, kisha hukusanya kiasi cha fedha kwa ajili yake, ingawa tohara ni Sunnah. Je, kukusanya fedha kwa ajili ya tohara ni jambo limesuniwa?

Jibu: Tohara ni miongoni mwa Sunnah za kimaumbile ambazo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alizielekeza. Kuzoea kukusanya fedha kwa ajili ya tohara hiyo na kuifanya kuwa jambo la lazima ni Bid´ah.

  • Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/113)
  • Imechapishwa: 21/10/2026