Vyakula vya watu wa Kitabu ambavyo hawakutaja jina la Allaah

Swali: Ikiwa mwenye chakula ni mnaswara. Je, inajuzu kula kwake?

Jibu: Hapana neno ikiwa ni mnaswara aliye chini ya ahadi ya amani. Vivyo hivyo kuhusu myahudi. Vyakula vyao ni halali kwetu. Vyakula vya watu wa Kitabu ni halali kwetu.

Swali: Vipi ikiwa hawakutaja jina la Allaah?

Jibu: Taja wewe [kabla ya kuanza kula].

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28705/حكم-طعام-اهل-الكتاب-اذا-لم-يسموا
  • Imechapishwa: 24/04/2025