Swali: Ikiwa mtu ametawadha bafuni na kuna hewa inayokausha kiungo cha kwanza, kama vile uso na kadhalika, kabla hajakamilisha wudhuu´, je, anatakiwa kuanza wudhuu´ upya au wudhuu´ huo unatosheleza?
Jibu: Wudhuu´ huo unamtosheleza. Si wajibu kwake kuurudia. Wala haipendekezwi kuurudia.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/237)
- Imechapishwa: 06/11/2026
Swali: Ikiwa mtu ametawadha bafuni na kuna hewa inayokausha kiungo cha kwanza, kama vile uso na kadhalika, kabla hajakamilisha wudhuu´, je, anatakiwa kuanza wudhuu´ upya au wudhuu´ huo unatosheleza?
Jibu: Wudhuu´ huo unamtosheleza. Si wajibu kwake kuurudia. Wala haipendekezwi kuurudia.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/237)
Imechapishwa: 06/11/2026
https://firqatunnajia.com/viungo-vinakauka-kabla-ya-kuosha-vingine/