Swali: Visima vya ´Aliy (أبيار علي) vimeitwa hivyo kwa sababu ya khaliyfah mwongofu?
Jibu: Hata siku moja. Jina hilo halina msingi, kama alivosema Shaykh-ul-Islaam katika “al-Mansik”. Jina hilo halina msingi. Wanadai kuwa ´Aliy mahali hapo alipigana vita na majini. ´Aliy alipigana vita na majini? Huu ni uongo usiokuwa na msingi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (20) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-6-2-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 18/01/2020
Swali: Visima vya ´Aliy (أبيار علي) vimeitwa hivyo kwa sababu ya khaliyfah mwongofu?
Jibu: Hata siku moja. Jina hilo halina msingi, kama alivosema Shaykh-ul-Islaam katika “al-Mansik”. Jina hilo halina msingi. Wanadai kuwa ´Aliy mahali hapo alipigana vita na majini. ´Aliy alipigana vita na majini? Huu ni uongo usiokuwa na msingi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (20) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-6-2-1435-01.mp3
Imechapishwa: 18/01/2020
https://firqatunnajia.com/vita-vya-aliy-dhidi-ya-majini/