Swali: Sifa ya kunyunyizia maji?
Jibu: Arashie maji juu ya sehemu kama vile zulia, paja lililopatwa na mkojo au mguu uliopatwa na mkojo. Maji hunyunyizwa juu yake bila hitaji la kuyamwaga maji mengi au kuyaacha yatiririke.
Swali: Maana yake Qataadah aliposema:
”… muda wa kuwa hajaanza kula chakula.”?
Jibu: Anamaanisha kuwa mtoto mchanga wa kiume anapoanza kula chakula basi mkojo wake unaoshwa kama unavyooshwa mkojo wa mtoto mchanga wa kike. Lakini kitendo cha mtoto huyo kupewa kitu kidogo lakini muda mrefu anatumia maziwa, si lazima kuosha mkojo wake. Inatosha kurashia maji juu yake mpaka atapoanza kula chakula.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24697/ما-صفة-النضح-على-ما-اصابه-بول-الرضيع
- Imechapishwa: 28/11/2024
Swali: Sifa ya kunyunyizia maji?
Jibu: Arashie maji juu ya sehemu kama vile zulia, paja lililopatwa na mkojo au mguu uliopatwa na mkojo. Maji hunyunyizwa juu yake bila hitaji la kuyamwaga maji mengi au kuyaacha yatiririke.
Swali: Maana yake Qataadah aliposema:
”… muda wa kuwa hajaanza kula chakula.”?
Jibu: Anamaanisha kuwa mtoto mchanga wa kiume anapoanza kula chakula basi mkojo wake unaoshwa kama unavyooshwa mkojo wa mtoto mchanga wa kike. Lakini kitendo cha mtoto huyo kupewa kitu kidogo lakini muda mrefu anatumia maziwa, si lazima kuosha mkojo wake. Inatosha kurashia maji juu yake mpaka atapoanza kula chakula.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24697/ما-صفة-النضح-على-ما-اصابه-بول-الرضيع
Imechapishwa: 28/11/2024
https://firqatunnajia.com/vipi-kuondosha-najisi-ya-mkojo-wa-mtoto-wa-kiume-iliyompata-mtu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)