Swali: Unasemaje kuhusu picha na video camera?

Jibu: Haijuzu isipokuwa kwa dharurah tu. Ama pasi na dharurah picha hazijuzu, kwa njia zake zote.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=6uJRrtgDHRw&feature=youtu.be
  • Imechapishwa: 29/06/2018