Vikombe vilivyoandikwa jina la Allaah

Swali 8: Vipi kuhusu vikombe ambavo vimeandikwa mja mtukufu (العبد الكريم) na mfano wake?

Jibu: Haijuzu, huku ni kudharau jina la Allaah. Msingi wake ni Aal ´Abdil-Karim, Aal ´Abdir-Rahmaan. Ni lazima kulifuta.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 32
  • Imechapishwa: 19/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´