Swali: Je, inafaa kutumia dawa zinazosaidia kukuza ndevu?
Jibu: Ikiwa ana matarajio kuwa zitakuwa zenyewe, basi asifanye hivo. Kwa sababu hali ya ndevu zake zilivyo sasa sio kasoro. Vijana wengi chipukizi ndevu zao hazimei kwa kulingana. Lakini ikiwa inazingatiwa ni kasoro kwa namna ya kwamba hatutarajii kuwa zitamea zenyewe, hasi hapana vibaya kujitibu ili ziweze kulingana, khaswa ikiwa zinaonekana vibaya. Lakini ikiwa hazionekani vibaya ni vyema kuziacha zikawa zenyewe ili zimee kawaida.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/33)
- Imechapishwa: 24/05/2026
Swali: Je, inafaa kutumia dawa zinazosaidia kukuza ndevu?
Jibu: Ikiwa ana matarajio kuwa zitakuwa zenyewe, basi asifanye hivo. Kwa sababu hali ya ndevu zake zilivyo sasa sio kasoro. Vijana wengi chipukizi ndevu zao hazimei kwa kulingana. Lakini ikiwa inazingatiwa ni kasoro kwa namna ya kwamba hatutarajii kuwa zitamea zenyewe, hasi hapana vibaya kujitibu ili ziweze kulingana, khaswa ikiwa zinaonekana vibaya. Lakini ikiwa hazionekani vibaya ni vyema kuziacha zikawa zenyewe ili zimee kawaida.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/33)
Imechapishwa: 24/05/2026
https://firqatunnajia.com/vijana-wanataka-ndevu-zilingane/